Pre GE2025 Adhabu waliyopewa Nape Nnauye na January Makamba ni ndogo mno!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mpaka wewe umejua na ukatuletea humu JF kuwa wana ukwasi wa hali ya juu, unafikiri wao hawajui? Kweli? Ahahahahaha!!!
 
Kumbe bado ni wabunge hawa watu? Nilishasahau uwepo wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…