Adhabu ya ajabu kwa shule ya msingi.

Kimbori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
6,112
Reaction score
4,540
Waalimu wa shule ya msingi Mbezi Ndumbwi iliyopo Mbezi Beach jijini Dar es salaam, wanawaadhibu wanafunzi wasiofanya majaribio ya kulipia wakati wa asubuhi (speed test) kwa kuwakalisha chini (sakafuni) siku nzima.
Wakati wa kuingia darasani asubuhi, wanafunzi wa darasa la 4, 6 & 7 waliofanya mtihani wa asubuhi, huitwa majina na kuruhusiwa kuingiza madawati watakayokalia. Wanafunzi wasiofanya mtihani hupewa adhabu ya kukaa chini siku nzima.
 
saafi sana.Mhe.P.Mrungo hajui.Ngoja niwapigie wanaharakati wapatembelee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…