Hata kwenye ukristo ilishatokea na matokeo yake ni mauaji tu huwezi kumforce mtu aamini...Hii inamaanisha kuwa kama hutaki kuuawa basi usiuache uislamu, ukishaacha uaslamu tafsiri yake ni kwamba unataka kufa.
Ova!
Sasa akili kumkichwa.Hata kwenye ukristo ilishatokea na matokeo yake ni mauaji tu huwezi kumforce mtu aamini...