Lung'wecha JF-Expert Member Joined Aug 20, 2014 Posts 927 Reaction score 574 Feb 16, 2015 #1 ningependa kujua je,hukumu ya kunyonga bado inatekelezwa hapa nchini? kama NDIYO je wananyongwaje? kama hapana HAPANA wanaohukumiwa maisha si watajaa huko magerezani? ufafanuzi wadau!
ningependa kujua je,hukumu ya kunyonga bado inatekelezwa hapa nchini? kama NDIYO je wananyongwaje? kama hapana HAPANA wanaohukumiwa maisha si watajaa huko magerezani? ufafanuzi wadau!