Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Adhabu jnaweza kuwepo ila pia kuna swala jengine la utekerezaj wa adhabu kuifup Tanzania hakuna mtu ambae atavyongwa kisa kapewa adhabu ya kifo ila utafungwa tu maisha yako yoteHii adhabu tunayoisikia kila uchwao ya kunyongwa hadi kufa ina maana ya kumtundika mtuhumiwa kwenye kamba au hutekelezwa pia kwa njia zingine kama kiti cha umeme au sindando ya sumu hapa kwetu?
Ok. Kwa hiyo si kweli kwamba wanatundikwa kitanzini??Adhabu jnaweza kuwepo ila pia kuna swala jengine la utekerezaj wa adhabu kuifup Tanzania hakuna mtu ambae atavyongwa kisa kapewa adhabu ya kifo ila utafungwa tu maisha yako yote
Halafu wakati ule wa Nyerere na Mwinyi ilipokuwa inatekelezwa. Mnyongaji akishanyonga anapelekwa Mahakamani na kusomewa mashtaka ya mauaji halafu anaachiwa. Siku nyingine tena akishanyonga anapelekwa Mahakamani tena kusomewa mashtaka ya mauji na kuachiwa na inaendelea hivyo hivyo sasa unabaki kushangaa tu WTF!Hii adhabu tunayoisikia kila uchwao ya kunyongwa hadi kufa ina maana ya kumtundika mtuhumiwa kwenye kamba au hutekelezwa pia kwa njia zingine kama kiti cha umeme au sindando ya sumu hapa kwetu?
Niliwahi kumsikia huyu mtu akisimulia. Ndo nauliza hapa kwetu hatutumii njia zingine za kutekeleza hukumu ya kifo? Marekani mtuhumiwa hupewa uchaguzi kati ya kiti cha umeme na sindano ya sumu. Na kuna state moja nadhani walipendekeza a shooting squad baada ya malighafi za lethal injection kuzuiliwa na na umoja wa ulaya (EU) kusafirishwa kwenda Marekani.Halafu wakati ule wa Nyerere na Mwinyi ilipokuwa inatekelezwa. Mnyongaji akishanyonga anapelekwa Mahakamani na kusomewa mashtaka ya mauaji halafu anaachiwa. Siku nyingine tena akishanyonga anapelekwa Mahakamani tena kusomewa mashtaka ya mauji na kuachiwa na inaendelea hivyo hivyo sasa unabaki kushangaa tu WTF!
Jamaa mnyongaji hadi sasa hivi yuko hai anaishi maisha duni ya ufukara bora mkono kwenda kinywani. Kuna wakati alihojiwaga na clouds akawa anasimulia hizi mbwembwe za akishanyonga anashtakiwa na kua achiwa.
Na walivyokuwa wakinyonga ni kwa kitanzi na anayenyongwa lazima anye.