jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Kwa maoni yangu adhabu hii bado ni valid na inapaswa kutolewa kabatini na kurudishwa kwenye utekelezaji.
Inawezekana watekaji na wauaji wameshajipimia adhabu na hivyo kuamua kufanya wayafanyayo wakiamini adhabu ya juu ni kukaa gerezani na kulishwa vizuri.