Tatizo ni kwamba hao wahuni hawajawahi hata kukamatwa.. mfano wale waliomshambulia Lissu.Kwa maoni yangu adhabu hii bado ni valid na inapaswa kutolewa kabatini na kurudishwa kwenye utekelezaji.
Inawezekana watekaji na wauaji wameshajipimia adhabu na hivyo kuamua kufanya wayafanyayo wyakiamini adhabu ya juu ni kukaa gerezani na kulishwa vizuri.
Wanyongwe wauaji na watekaji wote bila huruma kama Marais hawataki ku saini jukumu Hilo liachiwe Jaji mkuu.Kwa maoni yangu adhabu hii bado ni valid na inapaswa kutolewa kabatini na kurudishwa kwenye utekelezaji.
Inawezekana watekaji na wauaji wameshajipimia adhabu na hivyo kuamua kufanya wayafanyayo wakiamini adhabu ya juu ni kukaa gerezani na kulishwa vizuri.