Adhabu ya kunyongwa, ilianza lini?

Tus66

Member
Joined
Apr 9, 2012
Posts
14
Reaction score
1
Hivi adhabu ya kunyongwa mpaka kufa ilianzia wapi na lini?
 
Ilianzia kipindi cha wayahudi wakati wa kumhukumu Yesu huko nchi ya ahadi.

it was B.C (8TH CENTURY) in Roman in 10th century A.D, hanging was a usual methd in Britain na hapo ndipo ikaanza kusambaa kutokana na mambo ya ukoloni etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…