Uchaguzi 2020 Adhabu ya mgombea ubunge jimbo la Vunjo kupitia NCCR Mageuzi, James Mbatia yatupiliwa mbali

NCCR Mageuzi

Member
Joined
Oct 3, 2007
Posts
23
Reaction score
63
BREAKING NEWS: Adhabu iliyokuwa inamkabili mgombea ubunge wa Jimbo la Vunjo na mwenyekiti wa chama ndugu James Francis Mbatia ya kutokufanya mikutano ya hadhara kwa ajili ya kampeni imetenguliwa rasmi hii leo.

MBUNGE.png
 
Mama Tanzania CCM wasimsahau kwenye viti 10 vya Rais
 
BREAKING NEWS: Adhabu iliyokuwa inamkabili mgombea ubunge wa Jimbo la Vunjo na mwenyekiti wa chama ndugu James Francis Mbatia ya kutokufanya mikutano ya hadhara kwa ajili ya kampeni imetenguliwa rasmi hii leo.
Nilijua toka mwanzo hapa ni maigizo tuu

Na huyu jamaa kwa kutumia wapo vizuri hadi kufikia 28/10/2020 watamfanyia mengi mema na mabaya
 
Kamati ya maadili ya Taifa imesitisha adhabu za kufungiwa kwa siku 7 za wagombea wa chama cha NCCR Mageuzi James Mbatia na mgombea
Ubunge wa Jimbo la Moshi Vijijini Anthony Komu na wameruhusiwa kuendelea na kampeni kama ratiba inavyowaruhusu.

Oktoba 17, 2020 Mgombea Ubunge jimbo la
Vunjo NCCR-Mageuzi, James Mbatia na
mgombea Ubunge Moshi Vijijini Anthony
Komu walisimamishwa kufanya kampeni kwa
siku 7, kuanzia Oktoba 17 hadi 23, kutokana
nakutumia vipeperushi mbavyo havijaidhinishwa na msimamizi wa uchaguzi.
Screenshot_20201020-153327_Twitter.jpg
Screenshot_20201020-153333_Twitter.jpg
 
M
BREAKING NEWS: Adhabu iliyokuwa inamkabili mgombea ubunge wa Jimbo la Vunjo na mwenyekiti wa chama ndugu James Francis Mbatia ya kutokufanya mikutano ya hadhara kwa ajili ya kampeni imetenguliwa rasmi hii leo.
Mzee wa viti maalum apeta. NEC walikosea, walidhani ni CHADEMA. Mbatia wana ndoa naye. Hongera mchepuko wa CCM.
 
Hivi wagombea wote chama X wapo katika raiti traki mana sijawahi kusikia wamefungiwa hata sekunde moja?
 
Back
Top Bottom