NCCR Mageuzi
Member
- Oct 3, 2007
- 23
- 63
Mama Tanzania CCM wasimsahau kwenye viti 10 vya RaisBREAKING NEWS: Adhabu iliyokuwa inamkabili mgombea ubunge wa Jimbo la Vunjo na mwenyekiti wa chama ndugu James Francis Mbatia ya kutokufanya mikutano ya hadhara kwa ajili ya kampeni imetenguliwa rasmi hii leo.
Nilijua toka mwanzo hapa ni maigizo tuuBREAKING NEWS: Adhabu iliyokuwa inamkabili mgombea ubunge wa Jimbo la Vunjo na mwenyekiti wa chama ndugu James Francis Mbatia ya kutokufanya mikutano ya hadhara kwa ajili ya kampeni imetenguliwa rasmi hii leo.
Haina shida, huyo ni mzalendo wa kweliMama Tanzania CCM wasimsahau kwenye viti 10 vya Rais
Chadema ndio walishinikiza. Hiyo kamati ina wajumbe wa vyama vyoteHuyu ni CCM mwenzao walijisahu wakadhani ni Chadema au ACT
OvaHuyu ni CCM mwenzao walijisahu wakadhani ni Chadema au ACT
Mzee wa viti maalum apeta. NEC walikosea, walidhani ni CHADEMA. Mbatia wana ndoa naye. Hongera mchepuko wa CCM.BREAKING NEWS: Adhabu iliyokuwa inamkabili mgombea ubunge wa Jimbo la Vunjo na mwenyekiti wa chama ndugu James Francis Mbatia ya kutokufanya mikutano ya hadhara kwa ajili ya kampeni imetenguliwa rasmi hii leo.
Wakifanya makusudi kujustify adhabu waliyomoa Lissu.Huyu ni CCM mwenzao walijisahu wakadhani ni Chadema au ACT