Mr pianoman
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 2,595
- 6,264
Niko pale nasubiri wajuzi waje watupe somoNaomba kufahamu kuhusu hii adhabu na mahali inapotekelezwa mtu anapohukumiwa?
Pia ni makosa yapi ambayo mtu akiyafanya hupelekea kupewa hii adhabu?
Nani anatumika kuchapa viboko hivyo na hutumia kiboko gani; cha mti au ile ngozi?
Nahitaji pia kufahamu na mengine mengi unayoyafahamu kuhusu adhabu hii.
Asante. [emoji120]
najua kwa ninyo yafahamu;Naomba kufahamu kuhusu hii adhabu na mahali inapotekelezwa mtu anapohukumiwa?
Pia ni makosa yapi ambayo mtu akiyafanya hupelekea kupewa hii adhabu?
Nani anatumika kuchapa viboko hivyo na hutumia kiboko gani; cha mti au ile ngozi?
Nahitaji pia kufahamu na mengine mengi unayoyafahamu kuhusu adhabu hii.
Asante. [emoji120]
Asante sana mkuunajua kwa ninyo yafahamu;
1 & 3: Adhabu hutolewa magereza na anayemchapa viboko ni afisa magereza mwenye cheo kuanzia assistant superintendent mbele ya daktari(mtoa huduma za afya)pamoja na hakimu- "kwenye vyeo vya maafisa wa jeshi,polisi na magereza sifahamu vizuri naweza kusahihishwa"
2:Makosa ambayo yanaweza kupewa adhabu ya viboko yameainishwa katika Sheria Ya Adhabu ya Viboko Sura ya 17"Corporal Punishment Act,Chapter 17",lakini mfano ni kama makosa ya madawa ya kulevya,ushirikina/uchawi,udhalilisha wa kingono na mengine mengi yameelezwa katika Sheria tajwa hapo .