Adhabu ya viboko inatakiwa kufutwa kabisa kwenye shule

Adhabu ya viboko inatakiwa kufutwa kabisa kwenye shule

Lotus 123

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2021
Posts
3,151
Reaction score
5,513
Suala la adhabu ya viboko ni jambo ambalo utekelezaji wake upo kisiasa Sana, pindui shida ikitokea mara zote mwalimu anakuwa ni mhanga ambaye Hana utetezi wowote,ataishia kufungwa ,lakini mara zote walimu wanakuwa wanadhamira njema ya kurekebisha tabia ya moto,Kwa hiyo ni vyema viboko vifutwe kabisa,visiwepo Kwa idadi yoyote mashule
 
Swala la adhabu ya viboko ni jambo ambalo utekelezaji wake upo kisiasa Sana,pindui shida ikitokea mara zote mwalimu anakuwa ni mhanga ambaye Hana utetezi wowote,ataishia kufungwa ,lakini mara zote walimu wanakuwa wanadhamira njema ya kurekebisha tabia ya moto,Kwa hiyo ni vyema viboko vifutwe kabisa,visiwepo Kwa idadi yoyote mashule
Sijui hawa viongozi wetu hadi afe mtoto wake ndo akili ikae sawa kufuta hizi adhabu.

Watoto hawataki kwenda shule sababu ndo kama hizi baadhi ya walimu akili zimehamia kwenye masaburi.
 
Swala la adhabu ya viboko ni jambo ambalo utekelezaji wake upo kisiasa Sana,pindui shida ikitokea mara zote mwalimu anakuwa ni mhanga ambaye Hana utetezi wowote,ataishia kufungwa ,lakini mara zote walimu wanakuwa wanadhamira njema ya kurekebisha tabia ya moto,Kwa hiyo ni vyema viboko vifutwe kabisa,visiwepo Kwa idadi yoyote mashule
Wewe utakuwa umesoma chuo gani ?
 
Back
Top Bottom