Sijui hawa viongozi wetu hadi afe mtoto wake ndo akili ikae sawa kufuta hizi adhabu.Swala la adhabu ya viboko ni jambo ambalo utekelezaji wake upo kisiasa Sana,pindui shida ikitokea mara zote mwalimu anakuwa ni mhanga ambaye Hana utetezi wowote,ataishia kufungwa ,lakini mara zote walimu wanakuwa wanadhamira njema ya kurekebisha tabia ya moto,Kwa hiyo ni vyema viboko vifutwe kabisa,visiwepo Kwa idadi yoyote mashule
Wewe utakuwa umesoma chuo gani ?Swala la adhabu ya viboko ni jambo ambalo utekelezaji wake upo kisiasa Sana,pindui shida ikitokea mara zote mwalimu anakuwa ni mhanga ambaye Hana utetezi wowote,ataishia kufungwa ,lakini mara zote walimu wanakuwa wanadhamira njema ya kurekebisha tabia ya moto,Kwa hiyo ni vyema viboko vifutwe kabisa,visiwepo Kwa idadi yoyote mashule