Adhabu ya viboko kwa watoto wa kisiwani nursery school ni kali.

bwinabuye

Member
Joined
May 1, 2013
Posts
12
Reaction score
1
Ipo jijini mwanza eneo la muhandu,mbele ya machinjioni.kuna mwl wa kiume toka kenya anachapa watoto kama ana ua nyoka
 
wenyewe wanamwita sir,kwa mwongozo wa movt ni kinyume kuchapa watoto wadogo wa awali viboko visivyo na idadi.IMULIKWE.
 
mke wa former RCO mwz olomi alishamfuata mwl huyo kuhusu viboko visivyo na idadi kwa watoto.WAZAZI WATACHUKUA HATUA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…