BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Wakenya kwenye kuzidisha uzito kwenye mizani Barabarani wana sheria kari mno, unaweza jikuta unaacha gari pale.
Fikira lori kuzidiaha uzito unapigwa faini ya Ksh Milion 47 hizo ni around Million kama 800 za kitanzania, hii ni mara ya pili nakumbana na habari ya lori zikipigwa faini ya kutisha, kuna moja ilikuwa ni ya kubeba mchanga nayo ilipigwa faini ya karibia million 200 za kitanzania, kwa kifupi ni lazima wataifishe lori lako tu.
Bongo ndio maana Barabara zetu zimejaa viraka sana, zingine hazina miaka 6 zisha pigwa viraka vya kutosha.