BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
kwa barabara zipi mlizonazo??? usitake kunichekesha na asubuhiNa huko ndo kuna mabarabara ya hovyo yana viraka vya kutosha! Nimefika voi, mombasa, Na baadhi ya maeneo ya Nairobi.
Eti barabara zenye viraka? Maeneo gani hayo ya Nairobi, Mombasa na Voi. Acha unafik, hujatia mguu wako ndani ya nchi ya Kenya wewe. Labda ulizuru Kenya kwenye ndoto.Na huko ndo kuna mabarabara ya hovyo yana viraka vya kutosha! Nimefika voi, mombasa, Na baadhi ya maeneo ya Nairobi.
Kwahivyo miji ya Voi, Mombasa na Nairobi ni 'bush'? Unachekesha we kibwengo.Siwezi kubishana na chizi mwenye low IQ kama ww.
Sijui ni umeshindwa kutofautisha maeneo ya bush na maeneo ya Jiji au ni umenifanya makusudi, akili huna papasi wewe
We ni popoma tu kufananisha visivyolandana.then it is safe to say, "Tanzania yote ni bush land"
N/B huwezi kujiita mtu mwenye high Iq huku unatumia jazba/ mitusi/ povu kupitisha hoja yako. kwaio jitathmini
Tulia wewe. Leta picha ya high way kutoka migori - kisii.then it is safe to say, "Tanzania yote ni bush land"
N/B huwezi kujiita mtu mwenye high Iq huku unatumia jazba/ mitusi/ povu kupitisha hoja yako. kwaio jitathmini
Barabara ya Horohoro Mombasa Haina viraka? Mombasa malindi Haina viraka?Eti barabara zenye viraka? Maeneo gani hayo ya Nairobi, Mombasa na Voi. Acha unafik, hujatia mguu wako ndani ya nchi ya Kenya wewe. Labda ulizuru Kenya kwenye ndoto.