Adhabu za ndani ya kaburi lako


Na kuna wengine wameliwa na Simba na Yanga ........aaaaaaaahhhhhhh sory nilidhani ni kwenye mpira

Ila hii hadithi hata kichanga kilichozaliwa leo hakiwezi kuikubali!!!!!!
 
Hivi wale warembo 72 nao watakuwepo hapo kaburini au vipi? Maana vijana wengi wanazidi kujitoa muhanga na kumwaga damu za wengine ili wajipatie zawadi hii ya vimwana.
 
Atakuja nyoka kila baada ya kipindi cha swala. kama husali anakudonoa na machungu yake inauma zaidi ya miaka
Kaburi litakubana kama hutakuwa mtu mwema

hayo mafundisho ni kwa mujibu ya dini gani!??
 

unajaza server vitu vingi
 
Atakuja nyoka kila baada ya kipindi cha swala. kama husali anakudonoa na machungu yake inauma zaidi ya miaka
Kaburi litakubana kama hutakuwa mtu mwema

ukimezwa na simba au chatu hiyo adhabu ya kaburi utaipataje...???
 

oh i see your point mkuu, you think I'm biased to one side. As a matter of fact yes i have been curious. Well i can share with you one of the things. The bible says that the Earth is about 6000years old. Kuna fossil materials ambayo Yapo duniani scientists wanaya date kua na miaka zaidi ya million 1. So I'm usually stuck when i get at this point. I'm a scientists I've been taught to reason and test the logics of things, if they are valid i embrace them, that's all.
 
hv na wanaozikwa na majeneza ya mpingo inakuaje? hayo majoka yanatoboa jeneza?
 
Atakuja nyoka kila baada ya
kipindi cha swala. kama husali anakudonoa na machungu yake inauma zaidi
ya miaka
Kaburi litakubana kama hutakuwa mtu mwema

aisee,sijui braza au sista,umekusudia kuandika hayo au ndio utani tu?!
nyoka?
kaburini?
muda wa swala?
mh..!
kumbe hawa jamaa vilaza namna hii?
Mungu epushia mbali upuuzi huu.!
 
Unashangaa hayo?Kwa nini hushangai,roho inapotolewa haionekani?Na watu wapo wamemzunguka mgonjwa lakini Roho inatolewa bila ya kuonekana.Unafikiri kuchomwa mwili au kuoza kwa mwili,ndio mwisho wa mwanadamu?
Shangaa Roho,imo ndani ya mwili wako,lakini huioni,na wala huwezi kuizuia isitoke.
 
Last edited by a moderator:

HATA KATIKA UKIRISTO HAYA YAPO. TATIZO LA WAKIRISTO WENGI SASA HAWAAAMINI TENA BIBLIA. SOMA HAPA
Wakati mwingine, Yesu alitaja kuhusu kipindi cha hukumu wakati ambapo angewaambia hivi waovu: “Ondokeni mbele yangu enyi mliolaaniwa! Nendeni katika moto wa milele aliotayarishiwa Ibilisi na malaika wake.” Pia alisema kwamba hao “watakwenda kwenye adhabu ya milele.”—MATHAYO 25:41, 46, Biblia Habari Njema.
 
Ndugu zanguni kuhema kusikudanganyeni yani pamoja na mbwembwe zote hizo mnazoleta hamna ata mtu mmoja anaeweza kustahmili kutopumua ata kwa dakika moja tu na huyo ndie mwenyezimungu alivyo sawa kabisa na kuchukua kipunje chako cha mbegu ukakifukia kisha likatoka bonge la mti halafu ukaamini tu kua limejiotea lenyewe teh teh teh pumzi zisiwadanganye na elimu zenu za duniani amabazo hazitowasaidia lolote kwenye haya maisha ya miaka 45 tu!kibri ni sifa yake mwenyezi pekee!usifuate mkumbo!
 

i salute u bro for that preception.u have just accepted one perception of islam that is THERE IS NO GOD.xo i should prove to u EXCEPT ALLAH scientifically with logic and reason.in minutes hours and days coming

if i leave islam i swear bro i will be like u

before the battle just ponder on the following statement.

>scientist are not eliminating God there are eliminating models of God.
 
wanadanganyana eti unakuwa kichaa..!
kuna watu vilaza kweli duniani hapa!
Huko kukojolea kitabu,ndio kichaa chenyewe,mwenye akili sawa sawa,hakojolei kitabu.9akwenda sehemu iliyowekwa maalumu kwa kazi hiyo.Ni sawa anayeendesha gari barabarani huku atembea kwa mguu,ukimuona mtu namna hiyo huulizi wajuwa wazi ni kichaa.
 
Jiulize swali,ikiwa binadamu anatumia Oxygen,na oxygen ipo dunia ya kutosha,wapo watu mda huu,wamewekewa mitungi ya Oxygen,hawezi kuvuta oxygen,waliyokuwa wakiivuta kama kawaida siku zote.
 
Nonsense!
mafundisho ya wavaa vipedo haya
HAYA HAPA YA WAVAA SUTI KAMA WEWE


E e BWANA, …….. wasio haki wanyamaze kuzimu" (Zab. 31:17)."Bali BWANA ataikomboa nafsi yangu, atanitoa mikononi mwa kuzimu - Kaburi (Zab. 49:15) yaani nafsi ya Daudi au mwili atafufuliwa toka kaburini, au kuzimu’.
 
Adhabu za Mungu zipo,anaweza kukuletea adhabu hata kama uko hai.Ukitembelea hospital,hasa za maradhi makubwa kama cancer,au wenye matatizo ya maradhi ya ndani,kama figo.
Ndio utakapojuwa kama Mungu yupo,ambaye amekupa wewe uzima(japo hujui na wewe kesho au keshokutwa utakuwa vipi).Na wakati huo huo kuna mtu kama wewe anateseka na maradhi ya Cancer.Ambayo wana sayansi juu ya usomi wao,yanawashinda kutibu,na wanabahatisha hawajui chanzo chake.
Ni kama Maradhi ya Sukari,yanavyowaumiza kichwa wana Sayansi,mwisho wanabakia kusema ni maradhi ya kurithi.Mwisho ni pumu pia zinawashinda wana Sayansi kuelewa zasababishwa na nini,wanabaki kusema maradhi ya kurithi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…