Adhabu za ndani ya kaburi lako


umelielewa swali?
 
Someni biblia wakristo,acheni kusubiri Mpaka mchungaji akuchagulia Aya za kusoma.
Luke 16:19
Akasema palikuwa na mtu mmoja tajiri,aliye vaa nguo za rangi ya zambarau na kitani safi,na kula siku zote kwa anasa na maskini mmoja jina lake Lazaro,huwekwa mlangoni pake,ana vidonda vingi,naye alikuwa akitamani kushibishwa kwa makomboyaliyoanguka kwenye meza ya yule tajiri,hata mbwa wakaja wakamramba vidonda vyake.Ikawa yule maskini alikufa,akachukuliwa na malaika mpaka kifuani kwa Ibrahimu.YULE TAJIRI NAYE AKAFA,AKAZIKWA.BASI KULE KUZIMU ALIYAINUWA MACHO YAKE,ALIPOKUWA KATIKA MATESO ,AKAMUONA...
KWASABABU NATESWA KATIKA MOTO HUU
 
Isaya 66:24
Nao watatoka nje na kuitizama mizoga ya watu walioniasi;maana funza wao hawatakufa,wala moto wao hautazimika;nao watakuwa chukizo machoni pa wote wenye mwili.
Na pia Marko 9:44
Ambamo humo funza wao hafi,wala moto hauzimiki.
Ufunuo 21:8
Bali waoga na wasioamini,na wachukizao,na wauaji,na wazinzi,na wachawi,na hao waabuduo sanamu,na waongo wote,sehemu yao ni katka lile ziwa liwakao moto na kiberiti.Hii ndio mauti ya pili.
Isaya 14:11
MINYOO ITAKUWA NI KITANDA CHAKO ,NA NA MINYOO ITAKUFINIKA
 


Sawa Ilunga
 
kwani huku chit chat siku hizi ndo tunajadili mada za mlengo huu?
cc: Baba V na Kaizer
 
Last edited by a moderator:
kwani huku chit chat siku hizi ndo tunajadili mada za mlengo huu?
cc: Baba V na Kaizer

Huyu jamaa ameamua tu kuja kutisha watu hajui kuwa huku ni stress free zone , We live like there's no tommorow.
 
Last edited by a moderator:
Huyu jamaa ameamua tu kuja kutisha watu hajui kuwa huku ni stress free zone , We live like there's no tommorow.

Kule kwenye majukwaa yetu serious mtu akipost thread ushuzi kama hii mods ndio huwa wanaimuvuzisha huku na inakuwa dead & buried.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Allah Akbar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…