Adharanand Finn: Running with the Kenyans

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
11,923
Reaction score
13,350
Adharanand Finn goes into the heart of Championsville, Iten, Kenya to find out what makes Kenyan athletes the best! Hii ni kwa wale wote ambao wamekuwa wakitaka kujua 'siri' ya wanariadha wa Kenya na huwa wanazoa medali nyingi kivipi. Adharanand Finn ni mwanahabari/mwanariadha/mtalii na ukipenda pia 'sports researcher' ambaye alifika na kuishi kwa muda mrefu sana kule 'Home of Champions', Iten, Uasin Gishu County, Kenya. Kilichomleta Kenya ni hayo hayo ya kujibu swali hili; Wanariadha wa Kenya, wamebobea kwenye nyanja yao kivipi? Hiyo hapo juu ni blog yake, ambaye baadaye aliihamisha kule theguardianonline.com baada ya kuanza kufanyia kazi gazeti hilo. Pia ana kitabu chake kipya. Adharanand Finn: Running with the Kenyans. Uandishi wake ni hali ya juu, hadithi zake zote zinasisimua kweli kweli. Huyu jamaa alijitosa kabisa kule Iten, na ana 'insight' za ndani sana kuhusu maisha ya wanariadha wa Kenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…