Najua ni tatizo la watoto kuwa active kupita kiasi, kwa lugha ya mtaani tunaweza kusema ni mapepe.
Ni tatizo la kiafya, husababishwa na mambo kadhaa, huku ikiaminika kuwa mama mjamzito kula sukari sana, au mtoto kupewa vitu vya sukari sana kuchangi
Unaweza kusearch mkuu, hata wikipedia wana maelezo mazuri sana