Kibosho1
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 2,621
- 4,293
Nike ilipiga bao sana mwaka 2002 kwenye kombe la dunia, jezi hizi zilivaliwa na timu nyingi kama
Brazil, Italia, South Korea, Arsenal n.k. zilikuwa nzuri sana na zilitrend kwa kipindi hicho.
Toka mwaka huo sijaona tena jezi maarufu mpaka mwaka huu.
2024 ukiangalia michuano ya Euro na Copa America kampuni ya Adidas imelipa kwa ubunifu mzuri wa jezi, asee kwa kweli zinapendeza
hizi jezi hazina mifano ni kali mno sipati picha jezi ya man u msimu ujao.
Hakika Adidas wamelipa deni la nike mwaka 2002
Ukiangalia timu hizi
Ujerumani
Ubelgiji
Argentina
Colombia
Mexico
Italia n.k utapata jibu
Unaona jinsi bukta ilivyoungana na fulana kwa kamstari fulani hivi.
👏👏👏👏👏Natamani Tanzania au Simba ingekuwa na mkataba ba Adidas.