Admision latters for undergraduate degrees 2014/2015

Fedora

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2013
Posts
238
Reaction score
172
Wanajamvi ntapataje admision latter ya DUCE kabla sijaenda kuripoti, maana jamaa wamesema hizo latter zitatolewa mara baada ya mhusika kuripoti eneo la tukio. Mwenye kujua namna ya kuipata anisaidie tafadhari.
 
sorry did you mean admission letter??? if it's so, you need to visit their website in order to download it and if it's not available just email them using their official email address requesting them to send you admission letter..!welcome to the teaching field be proud of what you have attained
 
Thank you, Admission letter is not present in their website, so let me try to email them.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…