Admission 2021/2022: Majibu yanaweza kutoka mwezi wa ngapi?

mussa m roman

Member
Joined
Jul 17, 2017
Posts
22
Reaction score
5
Habari,

Naombeni kufaham kutokana na uzoefu wenu, Kwa tulioomba vyuo vya afya 2021/2022 kupitia website ya NACTE majibu yanaweza kutoka mwezi wa ngapi?
 
Download calenders yao,ila naomba msaada wa namba yako ninapata shida ku upload vyeti vyangu nilitaka nijue ww umewezaje
 
kweli aisee NECTA Kuna changamoto ukiupload numba ya mtihan inagoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…