Admission capacity za vyuo 2024

Admission capacity za vyuo 2024

icon_2000

Senior Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
177
Reaction score
256
Habari zenu,ningependa kuuliza je, admission capacity za vyuo zinakuwa ni zilezile ambazo wana andika TCU guidelinebook au zina weza kuzidi au kupungua,naombeni afafanuzi🙏🙏
 
Kijana kama unaufaulu wa wastani na unataka kozi nzuri,

Suka vizuri mkeka wako, chezesha vyuo vya wastani kama vile UDOM, MUST, MWECAU na SAUT

Vile huwa havijai

Utanishukuru baadae
 
Kijana kama unaufaulu wa wastani na unataka kozi nzuri,

Suka vizuri mkeka wako, chezesha vyuo vya wastani kama vile UDOM, MUST, MWECAU na SAUT

Vile huwa havijai

Utanishukuru baadae
Ahsante kaka kwa ushauri wa onyo shukurani ngoja nifanye ivo niangalie napo
 
Back
Top Bottom