I icon_2000 Senior Member Joined Jul 14, 2024 Posts 177 Reaction score 256 Jul 22, 2024 #1 Habari zenu,ningependa kuuliza je, admission capacity za vyuo zinakuwa ni zilezile ambazo wana andika TCU guidelinebook au zina weza kuzidi au kupungua,naombeni afafanuzi🙏🙏
Habari zenu,ningependa kuuliza je, admission capacity za vyuo zinakuwa ni zilezile ambazo wana andika TCU guidelinebook au zina weza kuzidi au kupungua,naombeni afafanuzi🙏🙏
OMOYOGWANE JF-Expert Member Joined Dec 30, 2016 Posts 4,701 Reaction score 11,920 Jul 22, 2024 #2 Kijana kama unaufaulu wa wastani na unataka kozi nzuri, Suka vizuri mkeka wako, chezesha vyuo vya wastani kama vile UDOM, MUST, MWECAU na SAUT Vile huwa havijai Utanishukuru baadae
Kijana kama unaufaulu wa wastani na unataka kozi nzuri, Suka vizuri mkeka wako, chezesha vyuo vya wastani kama vile UDOM, MUST, MWECAU na SAUT Vile huwa havijai Utanishukuru baadae
I icon_2000 Senior Member Joined Jul 14, 2024 Posts 177 Reaction score 256 Jul 22, 2024 Thread starter #3 OMOYOGWANE said: Kijana kama unaufaulu wa wastani na unataka kozi nzuri, Suka vizuri mkeka wako, chezesha vyuo vya wastani kama vile UDOM, MUST, MWECAU na SAUT Vile huwa havijai Utanishukuru baadae Click to expand... Ahsante kaka kwa ushauri wa onyo shukurani ngoja nifanye ivo niangalie napo
OMOYOGWANE said: Kijana kama unaufaulu wa wastani na unataka kozi nzuri, Suka vizuri mkeka wako, chezesha vyuo vya wastani kama vile UDOM, MUST, MWECAU na SAUT Vile huwa havijai Utanishukuru baadae Click to expand... Ahsante kaka kwa ushauri wa onyo shukurani ngoja nifanye ivo niangalie napo