Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,368
Dili la diploma za Muhimbili hilo wahini sasa
Quote: Diploma Programmes at Institute of Allied Health Sciences:
- Diploma in Medical Laboratory Sciences
- Diploma in Envornmental Health Sciences
- Diploma in Diagnostic Radiography
- Diploma in Orthopaedic Technology
- Diploma in Pharmaceutical Sciences
- Diploma in Nursing
Mimi ni "mweupe" sana kwenye eneo hili. Ninatakiwa nishauri Watoto walioko Form IV kwa ajili ya Mwakani. Ninaomba kuuliza:
1. Je, inawezekana kwa hawa Watoto kuanzia Diploma na kwenda hadi Degree?
2. Katika Diploma tajwa hapo juu, ni Diploma ipi inaweza kumfanya achukue Degree ya Clinical Medicine (sina hakika kama nimepatia title)
3. Diploma hizi ni za miaka mingapi?
4. Je, kama anaweza kusoma hadi Degree, kuna Kozi gani nyingine atatakiwa kuisoma kabla ya kujiunga na Degree?
5. Tovuti ya MUHAS iko kimya kwenye Fees za Diploma, je ni Sh. ngapi?
6. Je, kuna sponsorship ya Serikali kwa ngazi ya Diploma?
Kama nilivyosema, mimi ni mweupe sana kwenye hii sekta. Nisamehewe kwa hilo! Nia ni kuwashauri Watoto wakwepe High School, hasa hizi za Serikali, endapo watafanya vizuri. Ninaiona MUHAS hama option nyingine kwa ngazi za Diploma.
Please help!
Ndio diploma ya masomo uliyosoma unaweza soma Degree yake e.g Bsc in Nursing,in envt health,in medical lab sciences,in Pharmacy
Masomo ya Dip ni miaka 3
Ktk hizo dip zilizotajwa sidhani kama kuna course mtu anaweza soma DOCTOR OF MEDICINE(MD) sio clinical medicine ...ili Aweze soma MD lazime awe amesoma Dip in CLINICAL OFFICER
Sijajua kam hii kitu kama haipo au ndo ina special entry
Fees za Dip ni 1.2-1.4M kutegemea course na ni iwapo haujawa sponsored na GVT ambako wengi wao upewa huo msaada
mkuu mahina veterani, ili mtu apate sponser ya serikali anafanyaje? Tafadhali mkuu