Admission letter Kampala University!

Admission letter Kampala University!

Shabby kng

Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
41
Reaction score
6
Habari wana JF

Mimi nimechaguliwa kujiunga na chuo cha Kampala Dar sasa nilikua naomba kujua kuhusu admission letter yaani joining instruction maana kwenye website haipo na sijatumiwa kwenye email yangu sasa nifanyeje maana kazin ili nipate ruhusa wameniambia mpaka joining ndo napewa ruhusa.
 
Kama una ndugu au mtu ambaye yupo Dar mwambie akakuchukulie akutumie ( kama upo mkoani)

Mtumie taarifa zako kama vile jina na reg no kama ushatumiwa.....!
 
within a short time wataweka ktk mtandao,so vumilia maana hakuna chuo ambacho tayari kimeshatoa joining.
 
habari wana jf mimi nimechaguliwa kujiunga na chuo cha kampala dar sasa nilikua naomba kujua kuhusu admission letter yaani joining instruction maana kwenye website haipo na sijatumiwa kwenye email yangu sasa nifanyeje maana kazin ili nipate ruhusa wameniambia mpaka joining nndo napewa ruhusa

unatakiwa uende mbona mimi nimechukua tangu trh 10.9 palepale chuoni tatizo la kampala ni hilo na chuo kinafunguliwa trh 13.10
 
Back
Top Bottom