Bila kusahaua kutumia social medias , kama Facebook ambako Kuna watu wengi zaidi na pia mnaweza mkaa andaa offer mbali mbali kwa wanafunzi watakao jiunga na chuo chenu kama punguzo la ada kwa wanafunzi 200 wa mwanzo kwa kila kozi wataowahi ku apply.N.k