Admission Points za TCU?

Ushauri wakuu kwa aliyepata ECONOMICS=C GEOGRAPHY=B ADV/MATH=D Course gani anaweza kusoma,na chuo kipi anaweza kupata
 
Biology B+, Chem C na Geography C anaweza soma coz gani? Ushauri tafadhali
 
Ushauri wakuu kwa aliyepata ECONOMICS=C GEOGRAPHY=B ADV/MATH=D Course gani anaweza kusoma,na chuo kipi anaweza kupata

Nenda sua kasome agriculture engineering, ama kama ni educ nenda uoa kasome Bach of accounting with education
 
Ahsante Mr. Mangi kwa ushauri wako,vipi education in mathematics naweza nikapata?
 
zingatieni ushauri wana jf msiapply kampala university kina matatizo mengi kwanza mtaaala wa elimu wanaothumia utakufanya uwe nyuma kwa miezi minne dhidi ya wenzako walioaplly vyuo vingine na pia chuo hakijasajiliwa kwahiyo utapoteza mda wako kama wanaoendelea kugoma sasaivi
 
Naomba ushauri. ..nina physics B, chemia B,bios B for BRN....napenda kusoma MD. ....pls nitafanikisha kama nikijaza vyuo vitano Md!? Pls advise me...
 
kumbuka kuna cutoff point za tcu na za kozi husika katika chuo utakuta kozi fulani tcu wameweka 2.5 mfano but chuo husika wameweka 3.5-4.0 hivyo uwe makini unapojaza kozi
 
wakuu hebu mshaurini huyu dada ana
G.S_.E
B.A.M_.F
Economics_.D
Commerce_.D
Account_.D
Huyu C Arudi 2 Kijijini?
 
wakuu hebu mshaurini huyu dada ana
G.S_.E
B.A.M_.F
Economics_.D
Commerce_.D
Account_.D
Huyu C Arudi 2 Kijijini?

mwambie aombe B. A pale cbe au Insurance pale IFM Anaweza akapata, kama ana wasiwasi zaidi ni bora akapige coz ya pre entry pale TIA baadae aingie accountancy au finance
 
habari wakuu;
vp hapo naweza pata coz ya engeneering udsm,ardhi au sua?? .
PHYSICS B,CHEMISTRY B,ADV/MATH C
NB:MATOKEO NI YA BRN
 
Kwa mtazamo wenu ndugu mwaka huu Md watachukua point ngap!? Kwa serkali and private lk kcmc& cuhas make naona every body is after dat. ..da! Nooma saana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…