Admission to universities

Deusbaraka

Member
Joined
Jul 15, 2013
Posts
19
Reaction score
0
Hello,
When will the students be admitted to universities?, Naomba mnifahamishe.:help:
 
baada ya kutangaza vp kwani una mchecheto na chuo?
 
hapana sinamchecheto bali nilitaka kufahamu, kwani watu wengi huniuliza nakosa cha kuwajibu.:wave:
 
Kwani hukusikia magazetini leo?kiufupi wamesema jkt imeshindwa kuwachukua wanafunzi wote waliohitimu f6 mwaka huu.So waliobaki wote wamesevu.

Gazeti gani kaka?
 
Utajuaje kama haujawa selected? Maana nimeona kwenye web yao TCU wametangaza nafasi ya pili ya kuapply kwa wale ambao hawajachaguliwa na wale ambao hawakuapply, naombeni msaada kwa hili maana kuna mdogo wetu anasumbuka sana, pia inakuaje ameapply mapema kozi zote zilikuwa illegible mpaka wanafunga applications ila jana anaangalia kakuta 2nd choice yake wameweka not illegible...
 
Kwani hukusikia magazetini leo?kiufupi wamesema jkt imeshindwa kuwachukua wanafunzi wote waliohitimu f6 mwaka huu.So waliobaki wote wamesevu.

Mkuu weka chanzo hapa..!!! Ila ningefurahi kama wote wangeonja kule
 

Kwenye website ya tcu wametoa majina ya wanafunz zaid ya 9000 waliokosa vyuo awamu ya kwanza, we tembelea www.tcu.go.tz
 

mkuu eligible co kigezo! Kigezo ni cutt point aliyonayo kubwa kulingana na watu wengine walioomba course husika! Bt kuhucu watu kuongezeka hapo kuna utata coz hta mm ilikuwa hvyo hvyo utata mara ya kwanza kuangalia profile yang first choice tulikuwa 85 nimecheki juz nimekuta 58 wakat deadline ya kuapply ilikuwa imepitaa! Bt all in all leo hii ile course ciion kwenye ''course available with sloths'' i mean wanao apply second round hawawez kui apply hiyo course(imejaa)!!
 
vumilia maana waliofuzu mtihani wa RPL mwisho wao wa kuapply ni tarehe 4 august 2013 according to Home - Tanzania Commission for Universities so baada ya hapo ndo wataanza mchakato wa kuchagua,may be october watatoa majina.
Jamani mie mwenzenu hawa watu wamenichosha na haya matangazo yao yasiyo na ukweli wowote. Nimemwandikia Katibu Mtendaji wa TCU barua hii na sijapata majibu:
 
Jamani mie mwenzenu hawa watu wamenichosha na haya matangazo yao yasiyo na ukweli wowote. Nimemwandikia Katibu Mtendaji wa TCU barua hii na sijapata majibu:

sasa wametoa majina 8805 ambao hawajachaguliwa first round slection hivyo wanatakiwa wafanye selection upya kwa maelekezo maalumu,cheki website yao,mwisho tarehe 9 august 2013.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…