ok.🤝Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado ameshiriki Ibada ya Jubilei ya Miaka 25 ya Upadre ya Mhashamu Askofu Filbert Mhasi wa Jimbo Katoliki Tunduru Masasi iliyofanyika katika viwanja vya Kanisa la Mtakatifu Xavery Tunduru, Agosti 23, 2026.
View attachment 3656051View attachment 3656052View attachment 3656053View attachment 3656054
Anafuata protocol za mahali husikaKwa nini anabusu mkono?
Umemjibu vizuri sana. Maana waswahili huwa wanabenda kutengenza majibu kupitia fikra zaoAnafuata protocol za mahali husika
Kalagha bahu nongwaUmemjibu vizuri sana. Maana waswahili huwa wanabenda kutengenza majibu kupitia fikra zao