Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Lazima wataingizwa kama wabunge kadhaa wa upinzani,ili kuonyesha watu walichagua,kwa hali hiyo anaweza kuingia.Omba omba kupewa Hela kama habadili mtizamo siku zote ataendelea kuwa ombaomba!
Kuingia kwenye uchaguzi huku anayeamua ushindi ni unayetakiwa kumpinga, hiyo ni tabia za omba omba!
Ishajulikana. Na katika vitu anavitamani Zitto ni kuwa kiongozi wa upinzania bungeni.Lazima wataingizwa kama wabunge kadhaa wa upinzani...
Ahahahahaha! Kuna chama ombaomba zaidi ya Chadema duniani? Au ndio mambo ya "Nyani haoni kundule!!" Ahahahahaha!!Omba omba kupewa Hela kama habadili mtizamo siku zote ataendelea kuwa ombaomba!
Kuingia kwenye uchaguzi huku anayeamua ushindi ni unayetakiwa kumpinga, hiyo ni tabia za omba omba!
ACT Wanazingua👿Omba omba kupewa Hela kama habadili mtizamo siku zote ataendelea kuwa ombaomba!
Kuingia kwenye uchaguzi huku anayeamua ushindi ni unayetakiwa kumpinga, hiyo ni tabia za omba omba
Ndo iko hivyo,ZZK wala vyama vingine ukiacha CHADEMA, hawana kingine,wao ni maopotyunisti.Ishajulikana. Na katika vitu anavitamani Zitto ni kuwa kiongozi wa upinzania bungeni.
Kwa CCM ya Sasa wao na ACT ni kulwa na doto lao ni moja dhidi ya CHADEMA.
Makasiriko ya nini, unataka agombee tundu Lissu tuu wakigombea wengine mnawakashfu.Omba omba kupewa Hela kama habadili mtizamo siku zote ataendelea kuwa ombaomba!
Kuingia kwenye uchaguzi huku anayeamua ushindi ni unayetakiwa kumpinga, hiyo ni tabia za omba omba!
Hili swali halina umuhim wowoteHuyo jamaa aliyempa fomu ana shida ya jicho au ni kamera imekosea timing tu?
Uko sahihi, kama walivyokomaa Covid 19 kubaki, hii zamu ya wengine.Lazima wataingizwa kama wabunge kadhaa wa upinzani,ili kuonyesha watu walichagua,kwa hali hiyo anaweza kuingia.
Kwani Jimbo lipo wazi?ADO SHAIBU AJITOSA UBUNGE TUNDURU KASKAZINI
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa ubunge katika Jimbo la Tunduru Kaskazini kupitia ACT Wazalendo. Amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa Jimbo hilo Ndugu Noel Chilemba katika Ofisi ya Jimbo leo tarehe 26 Aprili 2025.
Kuheshimu maamuzi ya wengine ni pamoja na kuheshimu pia mawazo ya wengine. Wao wanaona wanapatia wengine tunaona wanakosea.Heshimuni maamuzi ya wengine wewe endelea kufuata upepo.