Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amewataja watu waliomteka na kumtesa Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa chama hicho, Abdul Nondo, akisema kuwa licha ya mateso hayo, chama hakitogopa wala kutojiweka pembeni. Akiwa katika mkutano hapo jana (Disemba 3), Shaibu alisema kwamba "wakimpiga Nondo mmoja, wanazaliwa 100"
Pia, Soma:
+ Nondo azungumzia kutekwa kwake. Nina hofu sana na maisha yangu
+ Nondo azungumzia kutekwa kwake. Nina hofu sana na maisha yangu