LGE2024 Ado Shaibu: Hatuibiwi kura safari hii. Wasitubipu, tuna bando la mwaka

LGE2024 Ado Shaibu: Hatuibiwi kura safari hii. Wasitubipu, tuna bando la mwaka

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Mambo yanazidi kunoga, kapilipili kanazidi kukolea. CCM wakiongonzwa na UVCCM Kagera wanawazoom tu 🌚 🌚

=====

"Sisi tumevumilia sana kuibiwa, 2020 tumeibiwa, na safari hii wamejaribu 'kutubipu' tukawapigia, wengine huko walipo wanajipanga eti wajaribu kutuibia tena, ninawaambia simu zetu tumeweka bando la mwaka, ataumia mtu safari hii, sisi tumejipanga"- Shaibu

Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhus Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu akizungumza siku ya Jumamosi Novemba 23, 2024, kijiji cha Kajima, kata ya Kajika, jimbo la Tunduru Kaskazini mkoani Ruvuma ambapo amewanadi wagombea wa chama hicho katika kata hiyo.
 
Back
Top Bottom