Mambo yanazidi kunoga, kapilipili kanazidi kukolea. CCM wakiongonzwa na UVCCM Kagera wanawazoom tu π π
=====
Your browser is not able to display this video.
"Sisi tumevumilia sana kuibiwa, 2020 tumeibiwa, na safari hii wamejaribu 'kutubipu' tukawapigia, wengine huko walipo wanajipanga eti wajaribu kutuibia tena, ninawaambia simu zetu tumeweka bando la mwaka, ataumia mtu safari hii, sisi tumejipanga"- Shaibu
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu akizungumza siku ya Jumamosi Novemba 23, 2024, kijiji cha Kajima, kata ya Kajika, jimbo la Tunduru Kaskazini mkoani Ruvuma ambapo amewanadi wagombea wa chama hicho katika kata hiyo.