ACT kwa miaka mingi, toka enzi za Mwigamba wanajitahidi sana kuwa "relevant" ila ni kama ilishagoma hivii... 😁
Zitto ni kama alishampanga huyu jamaa kama "stunt" yaani atoke nyuma ya pazia aje jukwaani kuigiza, huku "script" yote ni ya ni ziito akiwa nyuma ya pazia.
He's definitely a joke, a big joke in town. He's cooked. 😋