ADOLPH MBINGA:huyu jamaa yupo wapi?

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
Gwiji wa gitaa..Alitamba na bendi za African stars,Mchinga sound na nyinginezo...
Nakumbuka alipiga solo ktk nyimbo ya JIRANI ya twanga pepeta!
Hivi bado yupo?anafanya mziki bado?
Namkubali sana huyu mzee
 
Zilikuja zikaenda....! Nothing last 4ever...!imebaki story
 
Haikua na mfano hadi leo kida cha mpemba ipo juuu
 
Tabia hii kwa mpemba huyu,
ilikuwa kawaida
ila kwa siku moja mwenye mke,
kagundua hila zote!
 
Tabia hii kwa mpemba huyu,
ilikuwa kawaida
ila kwa siku moja mwenye mke,
kagundua hila zote!

Tabia ya mke Huyu,
Ilianza toka kitambo,
Mume alivumilia,
na kula mapocho pocho,
Kwa shingo upande yo yo, maskiini,
Ndipo siku hiyo bana, kabwaga manyanga chini,
Na kumtafuta Mpemba, Mpemba kakimbia ahaaa, masikini.

Mzee wa watu katoa kiasi cha mboga kulingana na uwezo wake,
Kashangaa? Kuona anakula vitu vya bei ya juu,
Kuliko gharama alizotoa.
 
Kisa kilichotokea Tabata ni cha kuchekesha, mpemba kavunja unyumba kwa ajili ya kuongeza kipimo cha mchele na sukari kwa mtu....
 
Nadhani hii inabaki kua, Album bora ya Twanga, ever forever. Ingawa Ndio album ya kwanza pia, enzi hizo Ramadhan Masanja Banza ni mtoto mzuri.

Ila wamiliki hawatambui hayo kwani hata kuipata tu kwenye soko ni vigumu halafu recording ilikuwa chini ya viwango enzi hizo.Ila wakizirekodi upya bila kuweka vionjo vipya na zikabaki classic mimi nitakuwa wa kwanza kununua album hata kwa 20,000

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 

hiki kipande nakipenda kweli yan dah!
 
hiki kipande nakipenda kweli yan dah!
Uzembe wa Mke huyu, ameutaka mwenyewe,
Nani wa kumlaumu, hakuna wa kumlaumu,
Analia sana ahaaa, Unyumba Hakuna ahaa, Tamaa Mbayaa ahaa


Analia sanaaaa!!!!!!, Unyumba Hakunaaa!!!!, Tamaa Mbayaaaa!!!!

(Rap ndio zinaanzia hapa sasa, Umtamtaka Banza??!!!)
 
Mambo madogo! Mambo makubwa! Wakasirika na kulia eeh eeh!
 

hiyo ndo twanga bwana!sio hii ya sasa imejaa matoz na mateja
 

hiyo ndo twanga bwana!sio hii ya sasa imejaa matoz na mateja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…