Adoption for a single..

Emilia

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Posts
266
Reaction score
86
Hello guys.
Kwa anayefahamu sheria ya adoption,Je mtu aliye single anaruhusiwa ku adopt ??

Na anaweza kumpa sir name ya kwake huyo mtoto,yaani kama ni mwanamke akampa sir name ya upande wa baba yake.

Msaada please.
 
Ukienda kule kwenye vituo vya yatima wanakupa tu mtoto. lakini wana utaratibu wao ambao inabidi uufuate. kuhusu kubadilisha jina sijajua lakini ukienda hata pale dogo dogo centre utasaidiwa zaidi. Mia
 
Kama unaweza ukakidhi mahitaji ya huyo mtoto kama mzazi na mlezi sidhani kama inashindikana. Na kuhusu jina hilo ni uamuzi wako na mtoto kama ana umri mkubwa kidogo. Mahakama itakuuliza wewe kama unataka kumpa jina lako, nae ataulizwa kama angependa kuchukua jina lako.
 
Naomba usome sheria inasemaje hapa chini na kama una vigezo vinavyokutosha


Restrictions on making adoption orders
(1) An adoption order shall not be made in respect of a child unless the applicant or, in the case of a joint application, one of the applicants–
(a) has attained the age of twenty-five and is at least twenty-one years older than the child; or
(b) has attained the age of twenty-one and is a relative of the child; or
(c) is the mother or father of the child.
(2) An adoption order shall not be made in respect of a child who is a female in favour of a sole applicant who is a male, unless the court is satisfied that there are special circumstances which justify as an exceptional measure the making of an adoption order.
(3) Except as provided by subsection (2) of section 3 of this Act, an adoption order shall not be made authorising more than one person to adopt a child.
(4) Subject to the provisions of section 5 of this Act, an adoption order shall not be made–
(a) in any case, except with the consent of every person who is a parent or guardian of the child or who is liable by virtue of any order or agreement to contribute to the maintenance of the child;
(b) on the application of one of two spouses, except with the consent of the other spouse.
(5) An adoption order shall not be made in favour of any applicant who is not resident in Tanzania or in respect of any child who is not resident within East Africa.
(6) An adoption order shall not be made in respect of any child unless the child has been continuously in the care and possession of the applicant for at least three consecutive months immediately preceding the date of the order.
 
Ukienda kule kwenye vituo vya yatima wanakupa tu mtoto. lakini wana utaratibu wao ambao inabidi uufuate. kuhusu kubadilisha jina sijajua lakini ukienda hata pale dogo dogo centre utasaidiwa zaidi. Mia

Nashukuru
 

Shukran
 

Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…