Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,081
I have no idea na taratibu za kisheria.
Ila kwa jamii inayotuzunguka hii ni ngumu sana kukubalika
Habari,
Jamani hivi hapa bongo kama nataka watoto wa adopt naanzia wapi? na mchakato wake wa kisheria ni hectic sana? Je kuna gharama za kulipia? Je kuna masharti natakiwa nitimize (Umri nk?).
Na je mwanamke anaweza kuwa offended na huu mpango? Coz my partner seems undecided.
Wenye details hata kidogo naombeni msaada.
lol niliangalia movie inaitwa orphan, sitaki tena mambo ya kuadopt unless niwe na tatizo la kutozaa aisee tena nadhan nitakaa na wa bandugu zangu.
nways ngoja waelevu wa mambo waje kukudadavulia.
mie napita tuu hapa.
lol niliangalia movie inaitwa orphan, sitaki tena mambo ya kuadopt unless niwe na tatizo la kutozaa aisee tena nadhan nitakaa na wa bandugu zangu.
nways ngoja waelevu wa mambo waje kukudadavulia.
mie napita tuu hapa.
yan una idea kama zangu nitamsaidia uko uko kituon aisee kumleta home mmh hapana.uraia tunaona waliasili watoto wanavyosumbuliwa nao. Ile parental love ni muhimu aisee, hata mtoto akupende na kukuheshimu vipi hawezi kukupenda na kukuheshimu kama atakavyopenda na kuheshimu biological parents.
Kama nina cha ziada nitaenda kuwasaidia huko huko waliko aisee.
mm sisomi nyuso wala mwili aisee kama nina extra nitamsaidia uko uko alipo.kweli mkuu...inatisha,hata hivyo inonyesha jinsi inavyohitaji busara kidogo kusoma nyuso za watoto...