ADSENSE VS ADSTERRA......

ADSENSE VS ADSTERRA......

Mr_Plan

Senior Member
Joined
Oct 2, 2021
Posts
140
Reaction score
194
Wadau Wa Blogger...Tufunguke Tumwagike hapa..Kati ya Adsense na Adsterra wapi kuzuri kwenye Kuvuna Mkwanja.
 
Wadau Wa Blogger...Tufunguke Tumwagike hapa..Kati ya Adsense na Adsterra wapi kuzuri kwenye Kuvuna Mkwanja.
AdSense ni bora. Ukiwa na Adsense utakuwa na uhakika wa kukubaliwa na premium Ad network zote ( Ezoic, Mediavine, monumetric, Adthrive nk)

Pia kwa kumaintain good user experience, ADSENSE ni nzuri pia
 
AdSense ni bora. Ukiwa na Adsense utakuwa na uhakika wa kukubaliwa na premium Ad network zote ( Ezoic, Mediavine, monumetric, Adthrive nk)

Pia kwa kumaintain good user experience, ADSENSE ni nzuri pia
Unaweza kuunganisha Adsense na ( Ezoic, Mediavine, monumetric, Adthrive nk kwa Pamoja...Yaani katika site moja
 
Unaweza kuunganisha Adsense na ( Ezoic, Mediavine, monumetric, Adthrive nk kwa Pamoja...Yaani katika site moja
Jibu ni ndio. Unaweza kuunganisha.

Uzuri ni kwamba EZOIC wenyewe wana feature inaitwa MEDIATION, hii inakuwezesha kuonesha matangazo ya Adsense na EZOIC kwa wakati mmoja na kupata hela kwa wakati mmoja. Hela za ADSENSE zitaenda kwenye account yako ya ADSENSE na hela za EZOIC zitabaki EZOIC.

Kwa Mediavine na Adthrive wao hio feature ya MEDIATION hawana, ila kwa sababu ni GOOGLE CERTIFIED PARTNERS utapata matangazo yote ya Adsense ila ni yale yenye thamani kubwa tu kupitia Google Double click program. Hivyo hutahitaji haya matangazo 'uchwara: ya Adsense.
 
Sio Adsense tu, Ad network zote CPC na CPM zimeshuka. Hapa tutarajie itapanda kuanzoa quarter ya nne (oct-dec).
 
Oooh hapa Sasa Nimekupata Mkuu....kwaiyo huwa Zinashuka Kutokana na nini ?
Factors ni nyingi sana ila kubwa ni seasonality ( msimu) kama vile bei za mazao zinavhopanda na kushuka.
Kwa msimu wa quarter ya tatu (july-sept) Maadvertiser (makampuni) wengi hawako tayari kutumia hela nyingi kwenye online ads kutokana na hali ya biashara zao kwa kipindi hiki, hivyo kupelekea competition kupungua, competition ikipungua automatically bidding price inapungua na ndo CPC na CPM zinashuka.
 
Back
Top Bottom