Adui namba wani wa Mwafrika ni...

Nadhani kitu kinachotufaa sisi ni mfumo mseto wa uchumi(mixed economy) na kuwe na njia za kuulinda uchumi wetu.

Tanzania tunafuata mfumo wa mseto(mixed economy) ingwa serikali haijaweka mpangpo madhubuti ya kuudhibiti huu mfumo.
Pia katiba inatamka tunafuata sicialism but in reality haiko hivyo.Ndo maana nimekua nikiongelea sana suala la katiba yetu kutungwa upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…