Habar wanajf?,kabla sijaanza kazi ya ualimu nilikuwa nikiona waalimu walivyo na maisha magumu na kunyanyasika sana na waajiri wao kuliko kada zote tz mfano madaktar,maakim,jesh n.k.Kumbe matatzo haya yote yanatokan na baadh ya waalim waliopandishwa vyeo kidogo na kuwekwa halmashauri ndo wanaongoz kuwakejeli,kuwatukana na kuwabania waalim ingawaje nao walikuw waalim na sasa wamesahau na kuwaona waalim mapunda.Mfano maalim wakuu/wakuu wa shule cku hizi ndo wanaongoza kwa hira dhidi ya waalim wanaowaongoza hasa pale mkuu anapokuw amezidiwa elimu,WAALIMU TUAMKE mbona jk,mawazir na wengineo wanalindana.