Adui wa taifa ni mmoja tu.

Adui wa taifa ni mmoja tu.

waBasila

Senior Member
Joined
Jun 27, 2013
Posts
168
Reaction score
37
Nyerere alisema maadui ni watatu mimi natoa new version kua adui ni mmoja tu, yule asiyeiogopa KATIBA.nawasilisha :A S-alert1:
 
Katiba ni nchi, katiba ni uhalali wa serikali, katiba ndiyo pumzi ya mwananchi, ndiyo mama wa kila kitu nchini, Kupigwa au kutopigwa na na vyombo vya usalama si kwakua kasema mtu ila ni kama itasema katiba, mbele ya katiba commandoo mwenye mtutu ni sawa na bibi kizee wa kijijini,hutompata fisadi, wala fedhuli palipo na katiba safi, hata chakula tunachokula kwa shida ama la nikatiba imetaka hivo, so ninani adui mwingine wakuogopwa kama si achezae sandakalawe na katiba? Warioba na Watu wake mnapaswa kuwa wapole mwananchi atowapo maoni yake. oni la mnyonge liheshimiwe kwa nguvu ileile lilivyo heshimiwa oni la ajionae bwana. na wananchi tutoe maoni na si tu kulalamika na kukosoa ovyo bila kuongea unataka nini. :attention:...ndipo hapo TZ na watu wake 2tapata stahiki za nchi.
 
Back
Top Bottom