Adui yako mwombee kupenda

Mmmh. mimi adui yangu namuombea uzazi ili nideal na kizazi chake
 
Sabalnuru wapendwa,

Kuna usemi unasema adui yako usimwombee maradhi wala kifo, mwombee kupenda asipopendwa kwani mateso yake ni nusu ya jehanamu. Kuna wanaokubaliana na usemi huo?
Ni kweli kabisa
Ni bonge la pigo

Nahisi inanoga zaidi ukiwa around kumshuhudia
 
Sabalnuru wapendwa,

Kuna usemi unasema adui yako usimwombee maradhi wala kifo, mwombee kupenda asipopendwa kwani mateso yake ni nusu ya jehanamu. Kuna wanaokubaliana na usemi huo?
Yahitaji uthubutu wa hali ya juu

Uwe kama chiz frn hiv
 
Unaweza kuwa strong ukasema mimi siwezi kuwa mnyonge, lakini mapenzi bwana achana nayo kabisa. Hayana uzoefu wala experience, yakikupiga yana kupiga tu.
adui wako wa mapenzi au usaliti.!!, hapana huyu sitaki mwona kabisa machoni, alioimba mapenzi in ya wawili aliwaza mbali sana
 
mkuu hii thread yako umekujanayo kibabe hadi naogopa ....[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23]
 
Si kibabe mkuu tu funguke tu, hakuna asiepitia haya ya kupenda pasipopendeka.
Hivi majuzi tu nilitokea kumpenda single mother mmoja hiv, nikawa nimeridhia kabisa kumlea mwanae, mama ake na kuikubali familia kwa ujumla. Alichokuja kukifanya doooooh! Inasikitisha aisee, kweli hayana mbabe
 
Ninakumbuka nikiwa mdogo nilikuwa na crush na mvulana mmoja, kwao wana duka basi nikitumwa dukani maziwa, makate, kibiriti, nitaleta kibiriti nisahau mkate ili tu nipate kurudi dukani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…