Collins_Sommy
Member
- Jul 7, 2019
- 14
- 38
Wana JF naomba msaada wa mawazo yenu. Nina mdogo wangu amehitimu kidato cha sita mwaka huu na kwa sasa yupo jeshini kwa mujibu wa sheria.
Kabla hajaondoka alisisitiza sana nimsaidie kuomba chuo katika kozi ya BACHELOR DEGREE WITH EDUCATION IN ADULT EDUCATION AND COMMUNITY DEVELOPMENT sikupata muda mzuri wa kumuuliza kwann anataka kozi hii.
Naomba kufahamu hii kozi inahusika na nini hasa na field yake ni wapi..