Collins_Sommy
Member
- Jul 7, 2019
- 14
- 38
Aliomba Udsm na IAEAnataka aende UDSM
Tusubiri huenda tukapata uelewa kiasiNataka kuielewa na mimi
Anafundisha level gani ya elimu.?Hoyo ni mwali wa kufundisha km atapata ajira serikali km akikosa basi karibu kuuza nyanya hapa Ferry wakati wa usiku
ZoteAnafundisha level gani ya elimu.?
Shule za msingi, sekondari ama vyuo vya kati.?
Nashukuru mkuu, acha dogo apambaneHii nzuri hii mwache dogo asome ina uwanja mkubwa wa ajira.