Bezecky
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 494
- 897
NILIWAAMBIA MBOWE NI TAPELI WA KISIASA NDANI YA CHADEMA MKASEMA NIMENUNULIWA NA CCM; SASA KIKO WAPI?
Na; Garatwa Francis
Ukiambiwa muda ni Mwalimu wa haki uwe unaelewa. Wakati nawaambia Mbowe na genge lake wanakiuza chama na tunapoelekea wataanza kutuuza sisi wanachama ni wangapi walinielewa?
Tatizo kubwa la Chama chetu, tumejaza wafuata upepo wengi sana wasiotaka kujua maana na hata ukiwajuza maana huwa hawaelewi chochote.
Ujuaji mwingi wa wafuata upepo kujifanya kama ni wafia chama for nothing ni tatizo lingine linalopelekea watu wengi kwenye hiki chama kuzubaa na wasiwe hata na uwezo wa kuhoji ujinga na ushenzi unaofanyika hadharani.
Leo hii ninapoandika hapa, karibu robo tatu ya watu wa chama hiki nchi nzima ni vilio tupu baada ya kushtukia michezo ya pata potea inayochezwa na Mbowe.
Kwa kuwa sasa tunaimba wimbo mmoja wote nchi nzima, nataka niwaambie kwamba, hakuna kenge yoyote ile ndani ya CCM yenye uwezo ama hata uthubutu wa kunipotosha nihame ndani ya CHADEMA.
Isipokuwa ni upumbavu ulizidi na ukavuka mipaka nikaamua kukaa pembeni kama hawa akina Ahobokile ambaye kipindi kile alidhani nimenunuliwa na CCM, leo naye ameamua kuutua mzigo.
Napokea simu na SMS nyingi sana za watu kupitia normal text na hata Inbox za hizi social networks watu wakitaka kujua nilijuaje haya mambo mapema vile.
Lakini baadhi yao siwajibu chochote kwa maksudi kwa sababu ni wanafiki watupu waliokuwa wanashupaza shingo zao kwamba wanajua nimeshanunuliwa na CCM na wengine wakasema nimehamia ACT ya Zitto.
Mwisho kwa uchache tu nasema kwamba; CHADEMA chini ya Mbowe binafsi siwezi kujidanganya kufanya chochote ndani ya CHADEMA kwa sababu najua itakuwa ni kazi bure tu ya kuendeleza mradi wake wa ulaji kutoka CCM na dola yao.
Just imagine mtu mwenye hadhi ya (CPA) Certified Public Accountant ndani ya chama ambaye alikuwa sehemu ya washauri wa chama kwenye masuala ya fedha Makao Makuu ya Chama na Mjumbe wa Kamati Kuu kama Ahobokile Mwaitenda;
Anaamua kujiuzulu nafasi zake zote ikiwemo ujumbe wa Kamati Kuu kisa hakubaliani na mienendo ya Mbowe ndani ya chama halafu wewe unayeambiwa kunja ngumi zako na usipokunja wewe ni mchawi unashupaza shingo kwa ujuaji.
Unahisi baada ya uchaguzi ikitokea Mbowe akatangazwa mshindi may be kwa maguvu ya dola ya CCM kukiongoza tena chama hiki kwa miaka mingine mitano hali ya Chama huko chini Itakuwaje?
Tundu Lissu ndiye mtu sahihi katika kipindi sahihi sana cha yeye kuwepo kwenye uongozi wa chama hiki.
Garatwa Francis,
Dar es Salaam, Tanzania.
22 Desemba, 2024.