Adv Garatwa: Niliwaambia Mbowe ni mjasiriamali wa siasa ndani ya CHADEMA mkasema nimenunuliwa fine. Leo yako wapi Wanachadema wenzangu

Hizi picha ziongea mengi mapema lakini hatukuelewa
 
We ni advovate gani mbona hujulikani - jitambulishe mzee, au wale wa mchongo muhuri mfuko wa shati.
 
Mtu na mdogoye
 
Dah! Mbowe angelinda reputation yake kwa kuachia wengine tu.

Kwa kungangania, hata kama ana nia nzuri lazima kutakuwa na mushkeri, kipi ajamaliza pale cdm kwa miaka yote aliyokaa?
 
Nimecheka sana hii PICHA
 
CDM ni ya wana CDM wenyewe na wataamua hatma ya chama chao kama mnataka harakati za msituni anzisheni chama chenu.
Afu sijawaona leo mkiandamna kumwokoa dr mihogo uthubutu wenu ni kwa Mbowe tu.
 
Garatwa uko vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…