Ukomo wa Madaraka ni Mjadala mzito katika kipindi hiki cha mchakato wa Uchaguzi wa CHADEMA.
Mchokoza Mada, Mh. Tundu Lissu katika hotuba yake tarehe 12/12/2024 aliiweka vizuri sana kwa Viongozi wa Chama na Viti Maalumu (Ubunge na Udiwani).
Hata hivyo Mh. Freeman Mbowe na Timu yake wanapinga kabisa msingi na umuhimu wa kuweka ukomo.
Team Mbowe wanasema Katiba ya CDM inamruhusu Mbowe kugombea tena na tena. Akashindwe kwenye kura au Wanachama wakimtaka watamchagua bila kujali amekaa miaka mingapi.
Term Limit/Ukomo wa Madaraka ni moja ya Elements of Human civilization.
Sense ya Ukomo huo huanzia kwenye Nafsi ya Mtu binafsi ku submit kwenye Kanuni hizo za Demokrasia na Ustaarabu wa Mwanadamu kukubaliana na Kanuni za Asili za Uongozi na Utawala kwamba Jamii ina Human Resource zote hivyo ni muhimu kuwapa wengine nafasi ya kuongoza kama ambavyo wewe ulipewa kwa wakati wako.
Ukiona mtu anajificha kwenye Maandishi ya Katiba kwamba haijaweka Ukomo hivyo akili zake za zinamtuma kuwa yeye atagombea Miaka yote hadi Kifo kitakapomtenganisha; huyo ni UNCIVILIZED POLITICIAN hafai kabisa kujiita mwanademokrasia. Kichwani ni Boya tu!
This is a draconian mindset.
Ukisema Katiba haijaweka Ukomo wa Madaraka, ni ukosefu wa macho ya mbali katika misingi ya Siasa za nchi na kujiweka kwenye soko la holela la Utawala wa nchi.
Hata wakati wa kelele za "ATAKE ASITAKE ATAONGEZEWA MUDA," Wapambe wa JPM walikuwa na sababu ya Kikatiba. Na wao wangesema Katiba ya Nchi imeweka ruksa kubadilisha Katiba katika maudhui yoyote kwa kupata Kura 2/3 ya Wabunge wa Bara na 2/3 wa Zenjibar.
Jamii yetu ilikemea na kupinga hoja za "KUONGEZA MUDA" kwa Rais Magufuli ni kwa sababu it was against Rules of Human Civilization and the Essence of Democracy.
Mbowe na CHADEMA waliwapinga Juma Nkamia na Ally Kessy kwa sababu hizo, japo wote tulijua KATIBA haijazuia kubadilishwa kuongeza muda wa Urais.
Mbowe leo ameanza kuzitupa akili zake, anaongea kama Mwanasiasa asiye na maarifa yoyote kuhusu Dhana na Misingi ya Demokrasia na Ustaarabu wa Mwanadamu.
Kujifyatua akili huku kwa Mbowe na kuanza kuongea kama mtu wa uelewa mdogo, nadhani kunaleta tafsiri moja tu, kwamba ANA MASLAHI BINAFSI katika Ofisi ya Uenyekiti wa CHADEMA. Amegeuza nafasi hiyo ni Biashara binafsi.
Na hapo ndipo ile theory ya akina Livingstone Lusinde Kibajaji na wenzake waliosema CHADEMA NI SACCOS, inapata mashiko.
Na ile statement ya Peter Lijualikali aliposema Bungeni kwamba, Kiongozi wa Juu wa CHADEMA anatumia vibaya Imani ya Wananchi na Wanachama kujitengenezea mipigo ya pesa, inapata mashiko pia. Ni DUKA LA MANGI.
Wanajificha kwenye Maandishi ya Katiba kuyatekeleza Mawazo na Fikra zao za Utawala wa MUSEVENI, NKURUNZINZA na BIYA; ambao nao wanatumia maandishi Kugombea kila baada ya miaka 5. Na husema wamechaguliwa na Wananchi.
Maandishi sio issue, maana hubadilishwa au kupuuzwa. Lakini Nafsi na Akili za Kiongozi ndizo huonyesha mwelekeo wa Chama.
Sheria na Katiba ya Nchi zimeruhusu Mikutano ya Vyama vya Siasa; lakini JPM alizuia kwa Tamko tu. Na Shughuli zote zilisimama. Maandishi yalisaidia nini? Shida sio maandishi, ni Mentality!
Kama ambavyo Mbowe akihojiwa na Salim Kikeke, alisema CHAMA kina utamaduni wake;
Ndivyo tunamkumbusha, Vyama vya Upinzani vina utamaduni wake Duniani kote na zipo Principles za kuakisi dhana ya Demokrasia kupitia Matendo yake kwa ujumla na Viongozi wake.
Chama ambacho Mwenyekiti wake anakaa madarakani bila kupisha wengine, hakifai kuitwa Chama cha Demokrasia. Na Mwenyekiti wake hafai kujiita Mwanademokrasia, huyo ni Mfanyabiashara anayeongoza Kampuni hiyo kibiashara, hawezi kumuamini mwingine!
OVER!