Thefreedom
JF-Expert Member
- Jan 27, 2019
- 319
- 314
Niaje wanaaaaaaaaaaaaaa
Thefreedom hapa sasa leo embu tujaribu kuendelea pale ambapo tuliiiishia jana .
kama wewe ni mgeni basiii tupo hapa kudiscuss issue nzima ya dll HIJACKING fud backdoorS ambazo zinapelekea kuhack windows system silently.
unaweza jiuliza nini maaaana ya DLL HIJACKING ?
Unaweza rejea kwenye hii thread ya kwanza HAPA
ila kwa haraka haraka tunaweza sema
DLL hijacking hii ni moja ya technique ambazo hutumiwa na wadukuzi ku gain access kwenye secured system kwa kutumia windows software ambazo hutegemea(load) system Dynamic Link Libraries.
mfano nimedownload setup ya vlc.exe , hii vlc iliiweze kurun kwenye windows os ina dll (libraries) ambazo zinakuwa searched then zikimalizika kuwa processed basi utaona setup windows ya vlc kwenye pc yako. sasa dll hijacking inakuja mfano hii software wakati wa ku load hizo required dll inahitaji dll yenye jina mfano maharage.dll kwenye desktop au windows files , huyu mdukuzi anachofanya anatengeneza backdoor.dll ambayo atairename jina sawa na ile dll ambayo inahitajika na hio VLC ili kumaliza task.
so ukirun vlc.exe basi itanyanyua ile malicious dll na kuiexecute kwenye system ya user pasipo user kufahamu kitu chochote na mwisho mdukuzi huyu ataaingia kwenye system yako silently as administrator na kufanya chochote anachotaka as normal user (ambaye ni wewe mwenye pc)
sasa katika thread hii ya leo nitaenda waonesha demo project ambayo nimeifanya ili kuweza kupenya kwenye protected windows system yyte . hii inaitwa MOTHERBOARD DIGEST
MOTHERBOARD DIGEST
Hii ni framework ya kutengeneza malicious motherboard digest.dll ambayo imeandikwa kwa lugha ya computer ya c ( c programming) , python na bash script
ndani ya framework hii imebeba vitu vitatu
1. silent-motherboard digest.c < hii ndo main part >
2. compile.py < kiunganishi cha mwisho husaidia kuingiza shell codes zilizotengenezwa na generator na kuingiza ndani ya silent-motherboard digest.c na kutengeneza malicious.dll
3. generator < hii ni kwa ajili ya kutengeneza custom encoded shell codes (x86 & x64)
UFANYAJI WAKE WA KAZI SHORTLY
output ambayo imetengenezwa na hio framework hapo juuu imeandaliwa ku digest na ku hijack all built-in Microsoft programs (internet explr, calc.exe, notepad, n.k) kwa kusaidiwa na run32dll.exe na hii nimeangalia vitu vifuatavyo:
1. nimecheck libraries gani hazipo kwenye windows system na zinakuwa called pale tu built-in microsoft programs zikiwa zinatumiwa na victim.
Na haapa nimetumia processor monitor by MIcrosoft
unaweza pakua hapa Process Monitor - Windows Sysinternals
2. Baada ya kuzifahamu nikatumia ida pro au dll function exporter ili niweze kujua entry point zake kwa kila moja ili inipe urahisi kutumia custom dll generator ambayo nilitumia
kwenye thread ya kwanza (module 1) kutengeneza either meterpreter shell codes au custom encoded shell codes
Download IDA Pro Advanced Edition v6.1.rar
so endapo victim akiwa na hii backdoor basi inaenda kufanya vitu hatari viwili kwnye system WINDOWS NT
(a) ina add data kwenye applist na italocate automatic hio malicious.dll iko kwenye directory gani ya victim
(b) itaload string zote za applist ambayo kwasasa itaact kama dll forward loader na kuruhusu rundll32.exe kuwa hijacked soon
victim akirun built-in microsoft programs
hivyo basi
katika demostration hiii nimetumia makusudi meterpreter msf shell codes ambazo ziko detected sana na A.V nyingi famous
output ya 1 malicious dll ilikuwa na scan result hiii hapa AntiScan.Me | silent-motherbodyDIGEST.dll | 9/26
ouput 2 baaada ya kuremove some characters AntiScan.Me | silent-motherbodyDIGEST.dll | 3/26
na mwisho AntiScan.Me | silent-motherbodyDIGEST.dll | 3/26
BAADA YA HAPO KUPUNGUZA UREFU WA THREAD TAZAMA VIDEO DEMO HAPA MOTHERBOARD DIGEST DEMO
KAMA UTAKUWA NA NYONGEZA BASI UNAWEZA ONGEZA KWENYE COMMENTS SECTION